| Swahili
AFRIKA
1 DK KUSOMA
Mamilioni waathirika na mafuriko Sudan Kusini, Umoja wa Mataifa wasema
Kulingana na Shirika la Afya Ulimwenguni, mafuriko hayo yamesababisha hali mbaya ya kibinadamu.
Mamilioni waathirika na mafuriko Sudan Kusini, Umoja wa Mataifa wasema
OCHA imesema kuwa mvua kubwa zilizoshuhudiwa eneo hilo limezorotesha usambazaji wa misaada ya kibinadamu./Picha: Getty       / Others
21 Oktoba 2024

Zaidi ya watu milioni wameathiriwa na mafuriko Sudan Kusini, kulingana na Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuratibu Misaada ya Kibinadamu (OCHA).

Mafuriko hayo yamewaacha watu wapatao 271,000 bila ya makazi, huku wengine wakilazimika kutafuta hifadhi kwenye maeneo ya mbali, limesema shirika hilo.

OCHA imesema kuwa mvua kubwa zilizoshuhudiwa eneo hilo limezorotesha usambazaji wa misaada ya kibinadamu.

Sudan Kusini, ambalo ni taifa changa kabisa duniani, linakabiliwa na mafuriko mabaya zaidi kupata kushuhudiwa kwa miongo kadhaa, yakiwa yamesababisha uharibifu wa miondombinu na maisha ya watu.

Siku ya Jumatatu, Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) lilisema kuwa mafuriko hayo yaliathiri hali ya kibinadamu nchini Sudan Kusini, ambapo kwa sasa kuna wakimbizi wapatao 800,000 waliokimbia machafuko nchi ya jirani.

Pata habari zaidi kupitia Whatsapp channels

CHANZO:TRT Afrika
Soma zaidi
Afrika Kusini yaomba utulivu kufuatia maandamano dhidi ya kusimikwa kwa 'Igwe' wa Nigeria
Rwanda ‘yahofia’ operesheni za DRC dhidi ya kikundi cha FDLR
Kenya yalipa ada ya Dola milioni 30 ya uenyeji wa AFCON 2027
Hasara ya mamilioni kufuatia ubomoaji katika soko kubwa zaidi la wazi la Gikomba Nairobi
Shabiki maarufu ‘Lumumba Vea’ akosa viza ya  kwenda kuishangilia DRC dhidi ya Jamaica
Mamlaka ya uchukuzi Kenya yazindua ukaguzi wa lazima wa afya kwa madereva ili kupunguza ajali
Tanzania yahimiza matumizi ya AI kuimarisha mtangamano na maendeleo EAC
Kundi lenye silaha limewaua watu wasiopungua 20 Jimbo la Plateau nchini Nigeria
Wafungwa wasiopungua 11 wafariki kutokana na mlipuko wa kipindupindu katika jela DRC
Kagame awaamuru maafisa waandamizi wa serikali 'kusimama' wakati wa hotuba yake
Wadukuzi wadukua maombi ya kazi 450,000 nchini Afrika Kusini
Rais wa Misri asema ni Trump pekee anaweza kusimamisha vita, aonya kupanda zaidi kwa bei ya mafuta
Togo yatoa uzoefu wa kupambana na magonjwa yasiyopewa kipaumbele
Watu 15 wamefariki katika ajali ya barabarani mkoa wa kati Kenya
Mahakama kuu ya Jamhuri ya Congo imethibitisha ushindi wa Sassou Nguesso kwa awamu ya tano
Rwanda, Burundi wanagombana juu ya juhudi za rais wa zamani wa Senegal Sall kuongoza UN
Vifo kutokana na mafuriko nchini Kenya vyaongezeka hadi 108, polisi wasema
Majenerali wakuu wa Uganda wazuiliwa kwa madai ya ufisadi: ripoti
Eswatini yamrudisha nyumbani mwananchi wa Cambodia aliyefukuzwa kutoka Marekani
Waasi waanza kuondoka katika vijiji vya DRC ili kuhimiza amani