Ulimwengu
India: Je, diplomasia ya Modi inaweza kusawazisha kati ya Urusi, Ukraine na Magharibi?
Macho yote yako kwenye ziara ya Waziri Mkuu wa India mjini Kiev wiki hii ili kuona kama anaweza kuendelea kusawazisha uhusiano wa Urusi na nchi za Magharibi. Hapo awali Modi hajawahi kulaani vita vya Urusi dhidi ya Ukraine.Afrika
Wamorocco wanataka meli inayoshukiwa kubeba silaha za Israeli kuzuiwa
Raia wa Morocco wanaitaka serikali kuizuia meli ya Vertom Odette, ambayo iliondoka India mnamo Aprili 18 na inatarajiwa kufika katika bandari ya Uhispania ya Cartagena, kupita katika eneo lake la maji katika Bahari ya Mediterania.Ulimwengu
Hasira zapanda baada ya Modi wa India, katika kutafuta kura, kuwaita Waislamu 'wavamizi'.
Msemaji wa mrengo wa kulia wa BJP anamtetea Waziri Mkuu Modi kwa 'kusema ukweli" wakati chama cha upinzani Congress kinasema matamshi hayo "yalikuwa mabaya zaidi kuliko yoyote yaliyowahi kutolewa na Waziri Mkuu katika historia ya India."
Maarufu
Katika Picha: Vijana waliochoshwa na vita DRC wapata faraja mchezo wa kuteleza
Huku kukiwa na operesheni za kijeshi zinazoendelea nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo za kung'oa makundi ya waasi, kijana mmoja anatoa suluhu la kipekee ili kupunguza msongo wa mawazo na kukabiliana na uhalifu mijini
Makala maarufu