Biashara Hewa ya Dhahabu Nchini Kenya
Polisi nchini Kenya imewakamata washukiwa watatu kwa madai ya kuhusika kwa kuwalaghai raia wawili wa kigeni kiasi cha shilingi 340 milioni, ambacho ni zaidi ya dola milioni 2.6 katika biashara ya dhahabu.