Je, unaijua ndoto ya 'Israeli Kubwa'?

Je, unaijua ndoto ya 'Israeli Kubwa'?

Je, uvamizi wa Israeli huko Lebanon unatokana na ndoto ya ‘Israeli Kubwa’?Mashambulizi ya kijeshi ya Israeli huko Gaza na uvamizi wake wa hivi karibuni nchini Lebanon yamezua mjadala kuhusu fikra ya "Israeli Kubwa."Matamshi ya baadhi ya maafisa wa Israeli yameibua uvumi kwamba wazo la "Israeli Kubwa" linapata umaarufu katika baadhi ya mirengo ya kisiasa nchini humo.