| Swahili
AFRIKA
1 dk kusoma
Urusi kuisaidia Msumbiji kupambana na ugaidi
Uamuzi huo, unafuatia ombi lilitoka kwa Rais Daniel Francisco Chapo, mara baada ya kukutana na Waziri wa Mambo wa Nje wa Urusi, Sergey Lavrov.
Urusi kuisaidia Msumbiji kupambana na ugaidi
Uamuzi huo, unafuatia ombi lilitoka kwa Rais Daniel Chapo, mara baada ya kukutana na Waziri wa Mambo wa Nje wa Urusi, Sergey Lavrov./Picha: Reuters

Urusi imesema kuwa ipo tayari kuisaidia serikali ya Msumbiji kupambana na vitisho vya kigaidi nchini humo.

Uamuzi huo, unafuatia ombi lilitoka kwa Rais Daniel Francisco Chapo, mara baada ya kukutana na Waziri wa Mambo wa Nje wa Urusi, Sergey Lavrov.

"Kati ya mambo mengine ambayo tumejadiliana, ni mapambano dhidi ya ugaidi," alisema Lavrov.

 "Urusi ipo tayari kuwasaidia marafiki zetu wa Msumbiji kutokomeza tatizo la ugaidi nchini Msumbiji."

Lavrov aliwasili jijini Maputo siku ya Alhamisi, baada ya kuzitembela Ethiopia na Niger.

CHANZO:reuters
Soma zaidi
Umoja wa Mataifa wapongeza makubaliano ya Libya kuelekea katika uchaguzi
Putin amuambia Trump: Urusi haina nia ya kuzishambulia nchi za Ulaya
Wahamiaji zaidi ya 1,000 waokolewa pwani ya Afrika magharibi ndani ya wiki moja, MSF inasema
Ghana yasema imetumia $4.37 milioni kuwarudisha raia wake nyumbani kutoka Afrika Kusini
Waburundi waomba nyaraka za kusafiria kufuatia operesheni dhidi ya wafanyabiashara wa kigeni Kenya
Watu wawili wafariki, wengine 25 wajeruhiwa baada ya basi la mahujaji wa Misri kupata ajali Makkah
Mume wa Rais Samia wa Tanzania afariki dunia
Cabo Verde yatangaza maombolezo ya kitaifa baada ya vifo vya watoto katika ajali ya basi
Mlipuko wa kipindupindu, Kordofan Magharibi umesababisha vifo vya watu 23
Romanda Hombir wa Afrika Kusini ashinda taji la Miss World Africa 2026
DRC inachunguza ajali mbaya ya moto katika sherehe ya harusi ulioua wageni 22
Unyanyasaji kwa wazee janga linaloenea kimya kimya
Marekani kuondoa ufadhili wa Dola milioni 45 za VVU kwa Namibia
Niger yaishutumu Ufaransa kwa jaribio lililofeli la uasi wa kijeshi
Huduma ya Kitaifa ya Polisi ya Kenya (NPS) inatoa onyo kwa wanasiasa kabla ya uchaguzi mkuu
Marekani yaongeza muda wa AGOA hadi mwisho wa 2028
Marekani inashinikiza kusitishwa kwa mapigano kwa sababu za kibinadamu bila vikwazo nchini Sudan
UN yapiga kura kuidhinisha ramani ya dunia inayoonyesha ukubwa halisi wa Afrika
Mfalme Oyo Nyimba: Mwili wa mfalme mdogo zaidi warudishwa Uganda kwa mazishi
Raia wa Marekani waokolewa baada ya mashambulizi katika kambi ya mbuga ya wanyamapori Msumbiji