| swahili
AFRIKA
1 dk kusoma
Rais wa Madagascar amteua jenerali wa jeshi waziri mkuu mpya
Rais wa Madagascar Andry Rajoelina amemteua Ruphin Fortunat Zafisambo, jenerali wa jeshi, kuwa waziri mkuu mpya, wiki moja baada ya kuvunja baraza la mawaziri.
Rais wa Madagascar amteua jenerali wa jeshi waziri mkuu mpya
Rais Andry Rajoelina, anasema kuwa "ni njama za wanasiasa" wenye lengo la "kutatiza" Madagascar. / Picha: AP
6 Oktoba 2025

Rais wa Madagascar Andry Rajoelina amemteua Ruphin Fortunat Zafisambo, jenerali wa jeshi, kuwa waziri mkuu mpya wa nchi siku ya jumatatu, wiki moja baada ya kuvunja baraza la mawaziri.

"Kwa hekima kabisa, nimeamua kumteua Ruphin Fortunat Dimbisoa Zafisambo, Jenerali, kuwa Waziri Mkuu wa serikali," kiongozi wa nchi amesema.

Hili linatokea wakati maandamano yakiingia wiki yake ya tatu siku ya Jumatatu.

Maandamano, yalichochewa na raia kuteta kuhusu kukatika kwa umeme na uhaba wa maji, ambayo yameendelea na kuonesha ishara ya kutokuwa na imani na serikali ya sasa.

Hata hivyo, Rais Rajoelina, 51, anasema kuwa "ni njama za wanasiasa" wenye lengo la "kutatiza" Madagascar.

CHANZO:TRT Afrika Swahili
Soma zaidi
UN yaagiza uchunguzi wa dharura ufanyike kuhusu ukiukaji wa sheria katika Al Fasher ya Sudan
Rais wa Tanzania atangaza uchunguzi kuhusu mauaji ya waandamanaji katika uchaguzi
Wakimbizi 57,000 wamewasili kaskazini mwa Sudan baada ya mashambulizi ya RSF huko Darfur, Kordofan
Afrika Kusini yaruhusu kuingia kwa wakimbizi zaidi ya 150 kutoka Gaza, Palestina
Afrika yakumbwa na mlipuko wa kipindupindu mbaya zaidi katika miaka 25
Mataifa ya G7 walaani mashambulizi ya RSF dhidi ya raia Sudan, watoa wito wa kusitishwa mapigano
Wakenya zaidi ya 200 wajiunga na jeshi la Urusi
AU yakanusha tuhuma za Trump kuhusu mauaji ya halaiki Nigeria
Mwigulu Nchemba ateuliwa Waziri Mkuu Tanzania
Jaji Mkenya achaguliwa Mahakama ya Kimataifa ya Haki
Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini amfuta kazi makamu wake
Duma wa Botswana aipa India zawadi ya duma 8
Kesi ya Roger Lumbala wa DRC yaanza kusikilizwa
Kesi za ubakaji, watoto kupotea zaripotiwa Darfur, Sudan – Umoja wa Mataifa
Ugonjwa wa Kichaa cha mbwa barani Afrika: Janga linaloendelea kuathiri maisha japo linaepukika
Libya yatakiwa kufunga vituo vya kuwazuilia wahamiaji katika mkutano wa Umoja wa Mataifa
Rais Museveni aonya kuzuka kwa vita endapo nchi za Afrika zitashindwa kufikia Bahari ya Hindi
UN: Milioni 11 wanawake na wasichana wanabeba uzito mkubwa wakati njaa ya Sudan inaendelea kupamba moto
Ethiopia yachagguliwa kuwa mwenyeji wa mkutano wa Umoja wa Mataifa kuhusu hali ya hewa, COP32
Ghana yafichua sababu ya ajali ya helikopta iliyoua watu wanane, wakiwemo mawaziri, mwezi Agosti