Somalia yatekeleza hukumu ya kifo kwa magaidi wa Al-Shabaab

Hukumu hiyo ilitekelezwa kufuatia kesi ya magaidi hao katika mahakama ya kijeshi ambapo walikutwa na hatia ya kufanya shambulio mjini Mogadishu.

By Yusuf Dayo
Somalia Al shabaab / Others