| Swahili
ULIMWENGU
1 dk kusoma
Makombora ya Urusi yashambulia Ukraine na kuua watu 16
Kulingana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Ukraine Andrii Sybiha, Urusi ilituma makombora 700 na kulenga raia wa kawaida.
Makombora ya Urusi yashambulia Ukraine na kuua watu 16
Rais wa Urusi, Vladimir Putin./Picha:Reuters

Makombora na droni kutoka Urusi yameua watu 16 na kujeruhi zaidi ya 80 nchini Ukraine, katika kipindi cha wiki mbili, serikali ya Ukraine imethibitha.

Kulingana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Ukraine Andrii Sybiha, Urusi ilituma makombora 700 na kulenga raia wa kawaida.

Watu wapatao wanne waliuawa mjini Kyiv, akiwemo mtoto wa miaka 12, huku wengine zaidi ya 50 wakijeruhiwa.

“Matukio ya namna hii yasichukuliwe kuwa ya kawaida, ni lazima yasitishwe na wahusika wachukuliwe hatua,” alisema Sybiha.

Soma zaidi
Rais wa China asema hatoipatia Iran silaha: Trump
Xi na Trump wakubaliana kwamba ‘Mlango-Bahari wa Hormuz lazima ubaki wazi - Ikulu ya White House
Wapalestina kufanya uchaguzi wa rais na wabunge
Hamas haipaswi kuondoka kisiasa: Balozi wa Bodi ya Amani
Netanyahu amezuru UAE na kukutana na Rais wa nchi hiyo kwa siri wakati wa vita vya Iran
Rais Trump wa Marekani awasili Beijing kwa mazungumzo muhimu na Rais Xi wa China
Taarifa za kijasusi za Marekani zaonyesha kuwa Iran bado ina uwezo mkubwa wa kurusha makombora
Pentagon yasema vita vya Marekani dhidi ya Iran vimegharimu Dola bilioni 29 hadi sasa
Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki aonya dhidi ya kutumia Mlango wa Hormuz kama “silaha”
Mabalozi wa Marekani wathibitisha Israel ilipeleka ulinzi wa Iron Dome UAE
Kufungwa kwa Hormuz kunatishia usalama wa chakula kwa watu milioni 45: UN
Abiria wa meli ya MV Hondius kupelekwa Uholanzi baada ya usafiri wa ndege ya Australia kusitishwa
Wabunge wa Ufilipino wajiandaa kumng’oa madarakani Makamu wa Rais Sara Duterte
Korea Kusini yalaani mashambulizi ya meli Mlangoni Hormuz
Israel inawaachilia wanaharakati wawili kutoka msafara wa misaada wa Sumud wa Gaza
Meya wa Japan aliyezimia kwa muda mrefu ‘afukuzwa kazi’
Taiwan yaidhinisha Dola bilioni 25 kwa ajili ya ulinzi
Mlipuko wa volcano waua 3 nchini Indonesia, wengine 20 hawajulikani walipo
Argentina yailaumu WHO 'kuingiza siasa' katika ugonjwa wa 'Hantavirus' huku maambukizi yakiongezeka
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Marco Rubio kukutana na Papa Leo XIV