| Swahili
UTURUKI
1 dk kusoma
Mkuu wa Intelijensia wa Uturuki aitembelea Afghanistan
Wakati wa ziara hiyo, Kalin alikutana na maofisa waandamizi wa Afghanistan, akiwemo Naibu Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya uchumi, Mullah Abdul Ghani Baradar, Waziri wa Ulinzi, Mohammad Yaqoob Mujahid.
Mkuu wa Intelijensia wa Uturuki aitembelea Afghanistan
Mkuu wa Intelijensia wa Uturuki, Ibrahim Kalin ameitembelea Afghanistan, ambako alikutana na Abdul Haq Wasiq, ambaye ni mkuu wa intelijensia wa nchi h

Mkuu wa Intelijensia wa Uturuki, Ibrahim Kalin ameitembelea Afghanistan, ambako alikutana na Abdul Haq Wasiq, ambaye ni mkuu wa intelijensia wa nchi hiyo.

Wakati wa ziara hiyo, Kalin alikutana na maofisa waandamizi wa Afghanistan, akiwemo Naibu Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya uchumi, Mullah Abdul Ghani Baradar, Waziri wa Ulinzi, Mohammad Yaqoob Mujahid na Waziri wa Mambo ya Ndani, Sirajuddin Haqqani.

Mazungumzo hayo, yaligusia hatua za kuimarisha usalama na kukuza ushirikiano katika mataifa hayo mawili.

 

CHANZO:Anadolu Agency