| Swahili
ULIMWENGU
1 dk kusoma
Netanyahu: Tumeshambulia reli na madaraja ya Iran
Katika taarifa yake, jeshi la Israel limesema kuwa limeshambulia madaraja 8 yaliyokuwa yakitumika na utawala wa Iran wakati wa kusafirisha zana za kivita".
Netanyahu: Tumeshambulia reli na madaraja ya Iran
Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu./Picha:Reuters

Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amesema kuwa nchi yake imefanya mashambulizi kwenye madaraja na njia za treni zinazotumika na Kikosi cha Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu cha Iran (IRGC).

"Tunaendelea kuumaliza utawala wa kigaidi wa Iran…kwa ari mpya na nguvu mpya,” alisema Netanyahu kwa njia ya picha mjongeo iliyotolewa na ofisi yake.

"Siku ya jana, marubani wetu waliharibu miondombinu ya uwanja wa ndege na helikopta katika kikosi cha anga cha Iran.

Leo hii tumefanikiwa kushambulia reli na madaraja yanayotumika na IRGC."

Katika taarifa yake, jeshi la Israel limesema kuwa limeshambulia madaraja 8 yaliyokuwa yakitumika na utawala wa Iran wakati wa kusafirisha zana za kivita".

Kulingana na msemaji wa jeshi la Israel Brigedia Jenerali Effie Defrin, marubani wa kivita wanaendelea “kuusambaratisha” utawala wa kigaidi wa Iran ".

CHANZO:AA
Soma zaidi
Abiria wa meli ya MV Hondius kupelekwa Uholanzi baada ya usafiri wa ndege ya Australia kusitishwa
Wabunge wa Ufilipino wajiandaa kumng’oa madarakani Makamu wa Rais Sara Duterte
Korea Kusini yalaani mashambulizi ya meli Mlangoni Hormuz
Israel inawaachilia wanaharakati wawili kutoka msafara wa misaada wa Sumud wa Gaza
Meya wa Japan aliyezimia kwa muda mrefu ‘afukuzwa kazi’
Taiwan yaidhinisha Dola bilioni 25 kwa ajili ya ulinzi
Mlipuko wa volcano waua 3 nchini Indonesia, wengine 20 hawajulikani walipo
Argentina yailaumu WHO 'kuingiza siasa' katika ugonjwa wa 'Hantavirus' huku maambukizi yakiongezeka
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Marco Rubio kukutana na Papa Leo XIV
Mhudumu wa Shirika la Ndege la KLM akutwa na virusi vya hanta
Iran yakana kuishambulia meli ya Korea Kusini Mlangoni mwa Bahari ya Hormuz
Iran itakubali tu “makubaliano ya haki na ya kina” na Marekani: Araghchi
Donald Trump asitisha operesheni “Project Freedom” katika Mlango-Bahari wa Hormuz kwa muda
Singapore: Wanyanyasaji mashuleni kukumbwa na adhabu ya viboko
Kiongozi wa genge la madawa ya kulevya ‘El Chapo’ aombwa kurudishwa Mexico
Shambulio la Marekani katika Mlango-Bahari wa Hormuz laua raia 5, Iran yasema
Watu watatu wamefariki kufuatia mlipuko wa hantavirus kwenye meli ya kitalii — WHO
Kaburi la wazi la Gaza: miili 8,000 imesalia imenaswa huku uondoaji wa vifusi ukikwama
Rubio kuzuru Vatican, Rome, baada ya Trump kuzozana na  Papa Leo, Meloni
Marekani yaidhinisha mauzo ya silaha ya zaidi ya $8.6B kwa Israel, UAE, Kuwait, Qatar