Rais Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe, ametia saini sheria inayomuongezea muda madarakani, hadi mwaka 2030.
Hata hivyo, sheria hiyo ambayo inaondoa uchaguzi wa urais, imepingwa na vyama vya upinzani vya nchini Zimbabwe.
ZILIZOPENDEKEZWA
"Sasa ni rasmi, imekuwa sheria,” alisema Afisa Mwandamizi ndani Wizara ya Habari wa nchi hiyo Nick Mangwana, kupitia ukurasa wa X.
CHANZO:AFP












