| Swahili
UTURUKI
1 dk kusoma
Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki, Qatar wajadili mazungumzo ya amani kati ya Marekani na Iran
Fidan na Al Thani walitumia fursa hiyo kuangazia awamu ya kwanza ya mazungumzo hayo yanayoendelea Switzerland
Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki, Qatar wajadili mazungumzo ya amani kati ya Marekani na Iran
Wawili hao, walibadilishana mawazo kuhusu awamu ya kwanza ya mazungumzo hayo yanayoendelea Switzerland./Picha:Reuters / Reuters

Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki Hakan Fidan pamoja na mwenzake wa Qatar Mohammed bin Abdulrahman Al Thani wamezungumzia mazungumzo ya amani kati ya Marekani na Iran, siku ya Jumatatu.

Wawili hao, walibadilishana mawazo kuhusu awamu ya kwanza ya mazungumzo hayo yanayoendelea Switzerland.

Hata hivyo, hakuna taarifa zaidi zilizotolewa kutoka kwenye mazungumzo hayo ya simu.