| Swahili
ULIMWENGU
1 dk kusoma
Waziri Mkuu wa Pakistan aelekea Saudi Arabia baada ya mazungumzo yake na rais wa Iran
Shehbaz Sharif anatarajiwa kukutana na mwana mfalme wa Saudi Arabia Mohammed bin Salman, kwa majadiliano yahusuyo mgogoro katika eneo la Mashariki ya Kati.
Waziri Mkuu wa Pakistan aelekea Saudi Arabia baada ya mazungumzo yake na rais wa Iran
Kati ya mambo mengine, wawili hao watajadiliana mzozo unaoendelea katika kanda hiyo pamoja na hali ya usalama kwa ujumla./Picha:Wengine
12 Machi 2026

Waziri Mkuu wa Pakistan, Shehbaz Sharif ameelekea Saudi Arabia, siku moja baada ya kuwa na mazungumzo ya simu na rais wa Iran.

Katika ziara hiyo, Sharif atafanya mazungumzo na mwana mfalme wa Saudi Arabia, Mohammed bin Salman.

Kati ya mambo mengine, wawili hao watajadiliana mzozo unaoendelea katika kanda hiyo pamoja na hali ya usalama kwa ujumla.

Ziara hiyo inakuja siku moja baada ya Sharif kufanya mazungumzo ya simu na Rais Masoud Pezeshkian wa Iran, ambaye alimueleza waziri mkuu wa Pakistan, kuwa njia pekee ya kumaliza mashambulizi ya Marekani-Israel dhidi ya Iran ni kupitia kutambua haki za msingi za Iran.

Septemba mwaka jana, Pakistan na Saudi Arabia zilitiliana saini mkataba wa ulinzi.

CHANZO:AA
Soma zaidi
Gazeti la Uingereza la The Daily Telegraph lafuta habari isiyo sahihi kuhusu Erdogan
Trump afikiria kuishambulia upya Iran baada ya mazungumzo ya amani ya Islamabad kushindikana-ripoti
Trump aagiza jeshi la Marekani kukamata meli yoyote inayolipa kuvuka mlango bahari wa Hormuz
Takriban watu 30 wamefariki katika mkanyagano kwenye ngome ya kihistoria ya Laferriere nchini Haiti
Hakuna makubaliano ya Marekani-Iran baada ya mazungumzo ya saa 21 nchini Pakistan, asema Vance
Marekani yakubali kuachilia mali ya Iran iliyozuiliwa ili kuendeleza mazungumzo ya Islamabad
Makamu wa Rais Vance awasili Pakistan kuanza mazungumzo muhimu ya Marekani na Iran
Korea Kaskazini, China zakutana, kukuza ushirikiano wa kimkakati
Rais Macron, Papa Leo wa 14 wajadili hali ya Mashariki ya Kati
Netanyahu asema Israel itaishambulia Hezbollah pale inapobidi
Kocha wa zamani wa Romania Mircea Lucescu afariki dunia
Bilionea Bill Gates kutoa ushahidi wake kuhusu faili za Jeffrey Epstein
Netanyahu: Tumeshambulia reli na madaraja ya Iran
Mbunge wa Marekani aanza mchakato wa kura ya kutokuwa na imani dhidi ya Waziri wa Ulinzi
Misri, Uturuki na Pakistan katika jitihada za upatanishi: Vyombo vya habari Marekani
Trump aongeza shinikizo kwa Iran, atishia hatua kali iwapo hakutakuwa na makubaliano
Trump: Mitambo ya umeme ya Iran, madaraja yatapigwa iwapo Bahari ya Hormuz haikufunguliwa
Wataalam 100 wanaonya kuwa mashambulizi ya Marekani dhidi ya Iran yanaweza kuwa uhalifu wa kivita
Afisa wa Marekani athibitisha kudunguliwa kwa ndege ya Marekani nchini Iran
Kiongozi wa mapinduzi ya Myanmar ashinda kiti cha Urais