Rais Volodymyr Zelenskyy wa Ukraine, amewasili nchini Marekani siku ya Jumanne, ambako atakuwa na mazungumzo na Rais Donald Trump.
Kupitia taarifa yake iliyowekwa kwenye ukurasa wa X, Zelenskyy alisema kuwa atakutana na Trump.
“Moja ya vipaumbele vyetu, ni ushirikiano wetu na Marekani katika ulinzi wa kutumia vilipuzi,” alisema Zelenskyy.
Wakati huohuo, kiongozi huyo amesema kuwa kuwa atatoa heshima zake kwa Seneta wa Republican, Lindsey Graham ambaye alifariki dunia Julai 11.
“Tutatumia fursa hiyo kumkumbuka mwanasiasa huyo, hususani alivyojitoa kwa ajili ya usalama na uhuru,” aliongeza.
CHANZO:Anadolu Agency

















