| Swahili
AFRIKA
2 dk kusoma
Rais wa jimbo la Kusini Magharibi la Somalia ajiuzulu
Rais wa jimbo la Kusini Magharibi la Somalia ametangaza kujiuzulu siku ya Jumatatu, saa chache baada ya serikali ya taifa kudhibiti kikamilifu mjii mkuu wa kiutawala Baidoa.
Rais wa jimbo la Kusini Magharibi la Somalia ajiuzulu
Abdiaziz Hassan Mohamed Laftagareen amejiuzulu kama rais wa jimbo la Kusini Magharibi la Somalia. / Wengine
tokea masaa 3

Rais wa jimbo la Kusini Magharibi la Somalia ametangaza kujiuzulu siku ya Jumatatu, saa chache baada ya serikali ya taifa kuchukua udhibiti wa mji mkuu kiutawala wa Baidoa, ishara ya kuanza kwa mabadiliko ya kusimamiwa na seriklali ya taifa.

“Mimi, Abdiaziz Hassan Mohamed Laftagareen, kuanzia leo, Machi 30, 2026, nimejiuzulu kutoka kwa nafasi ya Rais wa Jimbo la Kusini Magharibi,” Laftagareen alisema kupitia Facebook.

Amekuwa kwenye wadhifa huo kwa zaidi ya miaka saba.

Waziri wa Fedha wa jimbo hilo Ahmed Mohamed Hussein aliteuliwa rasmi kuwa kaimu rais.

Mabadiliko 'nyeti' ya kisiasa

Tangazo hilo linakuja huku vikosi vya serikali ya taifa vikiingia mji wa Baidoa mapema siku ya Jumatatu, kuchukua udhibiti wa mji huo ishara ya kuanza kwa mabadiliko ya kisiasa.

The central government in Mogadishu hailed South West state’s transition and urged calm and unity.

“The people of the South West State have taken control of Baidoa, signalling demand for accountability. The Federal Government of Somalia remains committed to stability, protecting lives and property, and ensuring no persecution or retaliation,” Somali Information Minister Daud Aweis said in a statement.

Mogadishu also emphasised that no acts of retaliation will be tolerated, underscoring the commitment to protecting lives and property during “this sensitive” political transition.

CHANZO:AA