| swahili
AFRIKA
1 dk kusoma
Rais Ruto atangaza siku saba za maombolezo ya kitaifa kwa ajili ya Waziri Mkuu wa zamani Raila
Salamu za rambirambi zinaendelea kutumwwa kutoka kwa viongozi wa Afrika na duniani kote kufuatia tangazo la kifo la Raida Odinga.
Rais Ruto atangaza siku saba za maombolezo ya kitaifa kwa ajili ya Waziri Mkuu wa zamani Raila
Odinga, mwenye umri wa miaka 80, aliripotiwa kuanguka ghafla wakati wa matembezi ya asubuhi katika kituo cha tiba cha Ayurvedic kilichoko, India.
15 Oktoba 2025

Rais wa Kenya, William Ruto, ametangaza siku saba za maombolezo ya kitaifa kufuatia kifo cha kiongozi wa upinzani na Waziri Mkuu wa zamani, Raila Odinga, na kusema kwamba Odinga atapewa mazishi ya heshima za kitaifa.

Odinga, mwenye umri wa miaka 80, aliripotiwa kuanguka ghafla wakati wa matembezi ya asubuhi ndani ya eneo la kituo cha tiba cha Ayurvedic kilichoko Koothattukulam, India, na baadaye alipelekwa hospitalini ambapo alitangazwa kufariki dunia saa 3:52 asubuhi kwa saa za Kenya.

Katika hotuba yake ya kitaifa Jumatano, Rais Ruto alimpongeza Odinga kwa kusema alikuwa "kiongozi jasiri" na mwanafalsafa wa siasa aliyekuwa na ushawishi mkubwa katika siasa za Kenya kwa miongo kadhaa.

“Kuheshimu mchango wa kipekee wa mheshimiwa Raila Odinga kwa taifa letu, nimetangaza kipindi cha maombolezo ya kitaifa cha siku saba ambacho bendera ya kitaifa itashushwa nusu mlingoti kote nchini Kenya na katika ofisi zetu zote za nje ya nchi,” alisema Ruto.

InayohusianaTRT Afrika - Afrika yamuomboleza waziri mkuu wa zamani wa Kenya Raila Odinga

CHANZO:TRT Afrika
Soma zaidi
UN yaagiza uchunguzi wa dharura ufanyike kuhusu ukiukaji wa sheria katika Al Fasher ya Sudan
Rais wa Tanzania atangaza uchunguzi kuhusu mauaji ya waandamanaji katika uchaguzi
Wakimbizi 57,000 wamewasili kaskazini mwa Sudan baada ya mashambulizi ya RSF huko Darfur, Kordofan
Afrika Kusini yaruhusu kuingia kwa wakimbizi zaidi ya 150 kutoka Gaza, Palestina
Afrika yakumbwa na mlipuko wa kipindupindu mbaya zaidi katika miaka 25
Mataifa ya G7 walaani mashambulizi ya RSF dhidi ya raia Sudan, watoa wito wa kusitishwa mapigano
Wakenya zaidi ya 200 wajiunga na jeshi la Urusi
AU yakanusha tuhuma za Trump kuhusu mauaji ya halaiki Nigeria
Mwigulu Nchemba ateuliwa Waziri Mkuu Tanzania
Jaji Mkenya achaguliwa Mahakama ya Kimataifa ya Haki
Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini amfuta kazi makamu wake
Duma wa Botswana aipa India zawadi ya duma 8
Kesi ya Roger Lumbala wa DRC yaanza kusikilizwa
Kesi za ubakaji, watoto kupotea zaripotiwa Darfur, Sudan – Umoja wa Mataifa
Ugonjwa wa Kichaa cha mbwa barani Afrika: Janga linaloendelea kuathiri maisha japo linaepukika
Libya yatakiwa kufunga vituo vya kuwazuilia wahamiaji katika mkutano wa Umoja wa Mataifa
Rais Museveni aonya kuzuka kwa vita endapo nchi za Afrika zitashindwa kufikia Bahari ya Hindi
UN: Milioni 11 wanawake na wasichana wanabeba uzito mkubwa wakati njaa ya Sudan inaendelea kupamba moto
Ethiopia yachagguliwa kuwa mwenyeji wa mkutano wa Umoja wa Mataifa kuhusu hali ya hewa, COP32
Ghana yafichua sababu ya ajali ya helikopta iliyoua watu wanane, wakiwemo mawaziri, mwezi Agosti