| swahili
AFRIKA
1 dk kusoma
Kenya: Tembo ahamishwa baada ya kuleta madhara kwa wenyeji
Tembo huyo alikuwa hodari wa kuvunja uzio wa umeme na kuvamia mimea, na hivyo kusababisha tishio kwa maisha ya wenyeji.
Kenya: Tembo ahamishwa baada ya kuleta madhara kwa wenyeji
Tembo huyo alikuwa hodari wa kuvunja uzio wa umeme na kuvamia mimea, na hivyo kusababisha tishio kwa maisha ya wenyeji./ picha: KWS
7 Oktoba 2025

Kitengo cha Mifugo na Ukamataji wa Huduma ya Wanyamapori Kenya, KWS kilifanikiwa kumhamisha tembo dume kutoka na usumbufu wake, kutoka Kijiji cha Kithoka karibu na Msitu wa Imenti, Kaunti ya Meru, hadi Mbuga ya Kitaifa ya Tsavo Mashariki zaidi ya kilomita 400.

Tembo huyo alikuwa anafahamika wa kuvunja uzio wa umeme na kuvamia mimea, na hivyo kusababisha tishio kwa maisha ya wenyeji.

“Uhamisho huu ulimzuia fahali kufundisha wengine mbinu zake za kuvunja uzio na kumhakikishia ustawi katika eneo kubwa la kilomita za mraba 13,700 la Tsavo Mashariki.”

KWS inasema kuwa ili kupunguza mzozo kati ya wanyama na wanadamu jitihada kama hizi ni lazima zifanyike.

“Ili kupunguza migogoro hiyo, KWS inaendelea kutekeleza hatua kama vile uzio wa kimkakati na, inapobidi, kuhamisha wanyama wenye matatizo.”

CHANZO:TRT Swahili
Soma zaidi
UN yaagiza uchunguzi wa dharura ufanyike kuhusu ukiukaji wa sheria katika Al Fasher ya Sudan
Rais wa Tanzania atangaza uchunguzi kuhusu mauaji ya waandamanaji katika uchaguzi
Wakimbizi 57,000 wamewasili kaskazini mwa Sudan baada ya mashambulizi ya RSF huko Darfur, Kordofan
Afrika Kusini yaruhusu kuingia kwa wakimbizi zaidi ya 150 kutoka Gaza, Palestina
Afrika yakumbwa na mlipuko wa kipindupindu mbaya zaidi katika miaka 25
Mataifa ya G7 walaani mashambulizi ya RSF dhidi ya raia Sudan, watoa wito wa kusitishwa mapigano
Wakenya zaidi ya 200 wajiunga na jeshi la Urusi
AU yakanusha tuhuma za Trump kuhusu mauaji ya halaiki Nigeria
Mwigulu Nchemba ateuliwa Waziri Mkuu Tanzania
Jaji Mkenya achaguliwa Mahakama ya Kimataifa ya Haki
Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini amfuta kazi makamu wake
Duma wa Botswana aipa India zawadi ya duma 8
Kesi ya Roger Lumbala wa DRC yaanza kusikilizwa
Kesi za ubakaji, watoto kupotea zaripotiwa Darfur, Sudan – Umoja wa Mataifa
Ugonjwa wa Kichaa cha mbwa barani Afrika: Janga linaloendelea kuathiri maisha japo linaepukika
Libya yatakiwa kufunga vituo vya kuwazuilia wahamiaji katika mkutano wa Umoja wa Mataifa
Rais Museveni aonya kuzuka kwa vita endapo nchi za Afrika zitashindwa kufikia Bahari ya Hindi
UN: Milioni 11 wanawake na wasichana wanabeba uzito mkubwa wakati njaa ya Sudan inaendelea kupamba moto
Ethiopia yachagguliwa kuwa mwenyeji wa mkutano wa Umoja wa Mataifa kuhusu hali ya hewa, COP32
Ghana yafichua sababu ya ajali ya helikopta iliyoua watu wanane, wakiwemo mawaziri, mwezi Agosti