Mwanasheria Mkuu wa Paraguay amejiuzulu siku ya Jumanne, kufuatia shinikizo la kung’olewa kutoka nafasi hiyo baada ya kudaiwa kushindwa kushughulikia uchunguzi wa kesi inayomkabili aliyekuwa kiongozi wa nchi hiyo, Santiago Pena.
Kulingana na gazeti la La Tribuna, Emiliano Rolon amewasilisha barua yake kujiuzulu kwa Kaimu Rais, Pedro Alliana.
ZILIZOPENDEKEZWA
Uamuzi wake, unafuatia shinikizo la kuondolewa madarakani, lililoandaliwa wanasiasa wa upinzani, wakimtuhumu kushindwa kuwajibika ipasavyo kwenye kesi dhidi ya Pena.
Upande wa upinzani, ulidai kuwa, ofisi ya Mwendesha Mashtaka, ilishindwa kutimiza wajibu wake kwa wakati katika kesi hiyo.
CHANZO:Anadolu Agency





















