| Swahili
UTURUKI
1 dk kusoma
Erdogan wa Uturuki na Carney wa Canada wamejadili uhusiano wa mataifa mawili na masuala ya kimataifa
Erdogan alimwalika Carney kuhuddhuria Mkutano wa NATO utakaofanyika Ankara na COP31 katika maongezi ya simu.
Erdogan wa Uturuki na Carney wa Canada wamejadili uhusiano wa mataifa mawili na masuala ya kimataifa
Erdogan alisema Uturuki inatilia maanani umuhimu wa kuimarisha uhusiano na Canada. / / AA
tokea masaa 9

Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdogan, na Waziri Mkuu wa Canada, Mark Carney, walijadili uhusiano wa mataifa mawili pamoja na maendeleo ya kikanda na kimataifa wakati wa mazungumzo ya simu siku ya Jumatano, kulingana na vyanzo vya kidiplomasia vya Uturuki.

Erdogan alisema kuwa Uturuki inatilia maanani suala la kuimarisha uhusiano na Canada, na alisisitiza uwezekano wa ushirikiano katika nishati, sekta ya ulinzi, na usafiri wa anga.

Alisema kuwa Uturuki inaendelea na juhudi za kuendeleza amani na utulivu wa kikanda, na inashiriki misingi ya pamoja na Canada katika masuala mbalimbali.

Erdogan pia alimwalika Carney kuhudhuria Mkutano wa NATO Ankara na COP31, ambayo itafanyika Uturuki, na akaeleza matumaini ya kumpokea kwa ziara rasmi kabla ya mwisho wa mwaka 2026.

CHANZO:AA
Soma zaidi
Israel inaweza kuiangazia Uturuki kama adui baada ya Iran: Mwanadiplomasia mwandamizi wa Uturuki
Viongozi wa dunia wanakusanyika Uturuki katika Mkutano wa 5 wa Diplomasia wa Antalya
Uturuki yamshutumu Netanyahu kuhusu matamshi yake yanayomlenga Rais Erdogan
Erdogan, Macron wanajadili kuhusu mapatano ya Iran, Lebanon, Gaza
Uchimbaji mafuta wa Somalia: Rais Mohamud anaipongeza Uturuki kama mshirika 'anayetegemewa'
Shirika la ndege la Uturuki lapata Afisa Mtendaji Mkuu mpya
Meli ya Uturuki ya kuchimba mafuta baharini yawasili Somalia kwa operesheni ya kwanza nje ya nchi
“NATO inapaswa ‘kubadilika’ ili kukabiliana na changamoto za vita vya kisasa: Burhanettin Duran
Erdogan: Tumenuia kuwa kati ya nchi 10 bora kwenye mauzo ya zana za ulinzi
Uturuki yaadhimisha miaka 106 ya shirika la habari la Anadolu
Rais wa Uturuki atoa salamu za Pasaka kwa jamii ya Wakristo
Erdogan, mkuu wa NATO wajadili mizozo kama 'mkwamo wa kijiografia' unaozidi kuongezeka juu ya Iran
'Wapinzani wa kudumu': Kwa nini nafasi ya Uturuki inayokua ya NATO inaifanya Israel kuwa na wasiwasi
Uturuki yaadhimisha miaka 77 ya NATO, yathibitisha jukumu la kimkakati katika muungano
Erdogan amuambia Putin ya kwamba Uturuki inapinga mashambulio dhidi ya Iran
Uturuki yaonya vita vya Mashariki ya Kati vinaweza kuenea katika eneo hilo, yatoa wito wa diplomasia
Israel ndiyo inayowajibika kwa kiasi kikubwa katika vita visivyo halali dhidi ya Iran: Rais Erdogan
Uturuki yalaani sheria ya hukumu ya kifo ya Israel dhidi ya Wapalestina na kuitaja kuwa ya batili
Kalin wa Uturuku awapokea wajumbe wa Hamas kujadili mpango wa amani wa Gaza
Ikiongozwa na Mke wa Rais wa Uturuki Emine Erdogan, dunia inaadhimisha Siku ya taka sufuri