Infografiki: Nchi zenye simba wengi duniani
Kuna simba wengi barani Afrika, lakini idadi hiyo inaendelea kupungua. Makadirio yanaonesha idadi ya simba ni kati ya 20,000 na 30,000 kote barani.
Infografiki: Nchi zenye simba wengi duniani / TRT Afrika Swahili
Wengi wakiwa kusini na mashariki mwa Afrika. Hii hapa ni orodha ya makadirio ya nchi zenye idadi kubwa