| Swahili
Dondoo za TRT Afrika | 20 Mei
00:00
00:0000:00
Afrika
Dondoo za TRT Afrika | 20 Mei
Mahakama ya Juu nchini Kenya imezuia kwa muda kuchujwa kwa wateule wa Tume Huru ya Uchaguzi na maoni yanaendelea kutolewa baada ya Rais wa Tanzania kutoa matamshi makali dhidi ya wanaharakati anaosema wanaingilia masuala ya ndani ya nchi yake.

Vichwa vya habari:

  • Mahakama ya Juu nchini Kenya imzuia kwa muda kuchujwa kwa wateule wa Tume Huru ya Uchaguzi 

  • Maoni yanaendelea kutolewa baada ya Rais wa Tanzania kutoa matamshi makali dhidi ya wanaharakati

  • Waasi wa Houthi wa Yemen watangaza kuzuia safari za baharini kwenye bandari ya Haifa ya Israeli

  • Marekani inaweza kuitenga Israel ikiwa mauaji ya halaiki ya Gaza yataendelea

  • Maafisa wa Uturuki na Marekani kukutana Washington, DC wiki hii kuzungumza kuhusu Syria

Sikiliza zaidi
Dondoo za TRT Afrika Swahili | 04 Machi 2026
Janga la unene
Sura ya Waislamu katika Bollywood
Unaijua homa ya ndege?
Palestina ya Marekani
Lugha ya Hisia
Je, miaka ni nambari tu?
Urembo kwenye mitandao ya kijamii unaathiri vipi wasichana?
Kutoka mtoni hadi baharini, Palestina itakuwa huru
Urithi wa Kiandalusia Umeishaje?