Vichwa vya habari:
Mlipuko mpya wa virusi vya Ebola nchini Congo waua watu 15
Zaidi ya miili 370 yapatikana kufuatia maporomoko ya ardhi nchini Sudan
Mahakama mjini London kuchunguza nafasi ya Uingereza katika mauaji ya halaiki
Mauaji ya hakaiki ya Gaza yanaonyesha kushindwa kwa Ulaya kuchukua hatua: Afisa mkuu wa EU
Ufaransa yashtakiwa kwa kushindwa kuzuia mauaji ya halaiki Gaza