Vichwa vya habari:
Mkuu wa Majeshi nchini Uganda amesema ataiwekea Marekani vikwazo
Takriban watu 15 wamefariki baada ya kivuko cha ferry kuzama Ufilipino
Israel yawaua Wapalestina 3, yawajeruhi 6, ikikiuka tena makubaliano ya usitishaji vita
Kimbunga Marekani chasababisha vifo vya watu sita
Maafisa wa Marekani wawasili Israel kujadili Gaza na Iran