| Swahili
Dondoo za TRT Afrika | 22 Mei
00:00
00:0000:00
Afrika
Dondoo za TRT Afrika | 22 Mei
Aliyekuwa Jaji Mkuu Kenya, David Maraga ameikosoa serikali kutochukua hatua, kufuatia kukamatwa kwa Boniface Mwangi nchini Tanzania. Na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje wa Kenya amesema juhudi za kidiplomasia zinaendelea ili Mwangi aachiliwe.

Vichwa vya habari:

  • Aliyekuwa Jaji Mkuu Kenya, David Maraga ameikosoa serikali kwa kutochukua hatua, kufuatia kukamatwa kwa Boniface Mwangi jijini Dar es Salaam.

  • Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje nchini Kenya amesema juhudi za kidiplomasia zinaendelea ili Boniface Mwngi aachiliwe.

  • Trump alionesha nyaraka za DRC akidai kuwa ni ushahidi wa mauaji ya halaiki dhidi ya wazungu nchini Afrika Kusini.

  • Mahakama jijini Dakar imemtia hatiani waziri wa zamani wa madini wa Senegal, Aissatou Sophie Gladima kwa tuhuma za rushwa.

  • Mashambulizi ya anga ya Israeli yawaua Wapalestina 79 kote Gaza.

Sikiliza zaidi
Dondoo za TRT Afrika Swahili | 04 Machi 2026
Janga la unene
Sura ya Waislamu katika Bollywood
Unaijua homa ya ndege?
Palestina ya Marekani
Lugha ya Hisia
Je, miaka ni nambari tu?
Urembo kwenye mitandao ya kijamii unaathiri vipi wasichana?
Kutoka mtoni hadi baharini, Palestina itakuwa huru
Urithi wa Kiandalusia Umeishaje?