
00:00
00:0000:00
Sikiliza zaidi
Dondoo za TRT Afrika | 30 Aprili
Afrika Kusini yaitaka Israeli kusitisha kutumia njaa kama silaha dhidi ya Wapalestina huko Gaza, na raia watatu wamekamatwa nchini Ghana kwa kusafirisha dhahabu kinyume na sheria
Sikiliza zaidi