
00:00
00:0000:00
Sikiliza zaidi
Dondoo za TRT Afrika Swahili, 09 January, 2025
Mashambulizi ya anga ya Israel dhidi ya Gaza yamesababisha vifo vya Wapalestina tisa zaidi huku idadi ya vifo ikiongezeka katika eneo hilo lililozingirwa, na wanaakiolojia wamefanya ugunduzi wa ajabu, wakifukua hekalu la Kihistoria la Malkia Hatshepsut nchini Misri.
Sikiliza zaidi