| Swahili
Dondoo za TRT Afrika | 13 Novemba
00:00
00:0000:00
Afrika
Dondoo za TRT Afrika | 13 Novemba
Mwigulu Nchemba ateuliwa Waziri Mkuu Tanzania na Wakenya zaidi ya 200 wamejiunga na jeshi la Urusi.

Vichwa vya habari:

  • Mwigulu Nchemba ateuliwa Waziri Mkuu Tanzania

  • Wakenya zaidi ya 200 wamejiunga na jeshi la Urusi

  • AU yakanusha madai ya Trump kuhusu mauaji ya halaiki Nigeria

  • Mawaziri wa mataifa ya G7 walaani mashambulizi ya RSF dhidi ya raia Sudan, watoa wito wa kusitishwa mapigano

  • Makubaliano ya usitishaji mapigano Gaza ni dhaifu, yanakiukwa kila mara - UN

Sikiliza zaidi
Dondoo za TRT Afrika Swahili | 04 Machi 2026
Janga la unene
Sura ya Waislamu katika Bollywood
Unaijua homa ya ndege?
Palestina ya Marekani
Lugha ya Hisia
Je, miaka ni nambari tu?
Urembo kwenye mitandao ya kijamii unaathiri vipi wasichana?
Kutoka mtoni hadi baharini, Palestina itakuwa huru
Urithi wa Kiandalusia Umeishaje?