Vichwa vya habari:
Rais Touadera achaguliwa tena kuwa rais wa Jamhuri ya Afrika ya Kati
Venezuela yamwapisha Delcy Rodriguez kama rais wa mpito kufuatia kutekwa nyara kwa Maduro
Cuba yaitaka CELAC kutetea uhuru wake baada ya mashambulizi ya Marekani nchini Venezuela
Rais Erdogan aonya dhidi ya ukosefu wa utulivu wa Venezuela katika mazungumzo yake na Trump
Netanyahu amtaka Putin kuihakikishia Iran kutokuwa na mashambulizi ya Israel dhidi yake