
00:00
00:0000:00
Sikiliza zaidi
Dondoo za TRT Afrika Swahili, 17 Februari, 2025
Misaada ya kibinadamu kwa Gaza imewekewa vikwazo vikali na Israeli, huku asilimia 30 pekee ikifika eneo hilo na Rais Zelenskyy anasema hatakubali makubaliano yoyote ya Marekani na Urusi bila ya kuhusishwa Ukraine.
Sikiliza zaidi