| Swahili
Dondoo za TRT Afrika | 16 Mei
00:00
00:0000:00
Afrika
Dondoo za TRT Afrika | 16 Mei
Baadhi ya vijana nchini Uganda wamezindua kampeni maalum kumuaga Rais Museveni, na mazungumzo ya kusitisha vita kati ya Ukraine na Urusi yaendelea Uturuki.

Vichwa vya habari:

  • Baadhi ya vijana nchini Uganda wamezindua kamapeni maalum kumuaga Rais Museveni

  • Mazungumzo ya kusitisha vita kati ya Ukraine na Urusi yaendelea Uturuki

  • Wapalestina wasiopungua 136 wameuawa Gaza katika mashambulizi ya anga ya Israel siku ya Alhamisi

  • Marekani inasema Syria yenye amani na utulivu inaweza kubadilisha eneo hilo

  • Timu ya Barcelona watwaa ubingwa wa 28 wa La Liga

Sikiliza zaidi
Dondoo za TRT Afrika Swahili | 04 Machi 2026
Janga la unene
Sura ya Waislamu katika Bollywood
Unaijua homa ya ndege?
Palestina ya Marekani
Lugha ya Hisia
Je, miaka ni nambari tu?
Urembo kwenye mitandao ya kijamii unaathiri vipi wasichana?
Kutoka mtoni hadi baharini, Palestina itakuwa huru
Urithi wa Kiandalusia Umeishaje?