| Swahili
Dondoo za TRT Afrika | 19 Mei 2025
00:00
00:0000:00
Ulimwengu
Dondoo za TRT Afrika | 19 Mei 2025
Vikosi vya Israel vimeishambulia kwa mabomu hospitali ya Nasser huko Khan Younis tena, baada ya kuibua wimbi la mashambulizi, na China ikatoza ushuru wa kuzuia utupaji taka kwa bidhaa maalum za plastiki kutoka Marekani, EU, Japan na Taiwan.

Vichwa vya Habari

  • Pongezi zaendelea kutolewa kwa Mkurugenzi mpya wa WHO – Kanda ya Afrika Profesa Mohamed Janabi

  • Mashambulizi ya bomu yauwa watu wasiopungua 11 nchini Somalia

  • Israeli yaendeleza mashambulizi Gaza huku idadi ya raia waliouawa ikiongezeka

  • Australia yawapelekea Ukraine vifaru vya Abrams kuwasaidia dhidi ya Urusi

  • China yatangaza ushuru mkubwa kwa plastiki kutoka Marekani, EU, Japan na Taiwan

Sikiliza zaidi
Dondoo za TRT Afrika Swahili | 04 Machi 2026
Janga la unene
Sura ya Waislamu katika Bollywood
Unaijua homa ya ndege?
Palestina ya Marekani
Lugha ya Hisia
Je, miaka ni nambari tu?
Urembo kwenye mitandao ya kijamii unaathiri vipi wasichana?
Kutoka mtoni hadi baharini, Palestina itakuwa huru
Urithi wa Kiandalusia Umeishaje?