7 Novemba 2025
Vichwa vya habari:
Serikali ya Kenya imethibitisha kwa mara ya kwanza kuuliwa kwa Mkenya Okoth Ogutu
Wapiganani wa RSF nchini Sudan wametangaza kukubali kusitisha mapigano
Trump amesema anatarajia kikosi cha kimataifa cha usalama, kupelekwa Gaza “hivi karibuni”
Jeshi la Korea Kusini limesema Korea Kusini imerusha kombora la balestiki kuelekea mashariki mwa nchi hiyo
Trump: Iran imekuwa ikiwasiliana na Mareknai kuuliza ikiwa vikwazo vinaweza kuondolewa
