| Swahili
Dondoo za TRT Afrika | 21 Mei
00:00
00:0000:00
Ulimwengu
Dondoo za TRT Afrika | 21 Mei
Gaza inaripoti vifo 326 vya utapiamlo, zaidi ya mimba 300 zilizoharibika kutokana na ukosefu wa mambo muhimu; na, Trump azindua mpango wa ulinzi wa kombora wa 'Golden Dome' wa dola bilioni 175.

Vicha vya habari:

  • Mamlaka ya Palestina inasema kuwa karibu watu 330 wamekufa kufuatia kizuizi cha siku 80 cha Israeli.

  • Bunge la Uganda lilipitisha sheria inayoruhusu mahakama za kijeshi kuwahukumu raia.

  • Ujasusi wa Marekani umepata taarifa mpya kwamba Israeli inajiandaa kufanya shambulio la kijeshi kwenye vituo vya nyuklia vya Iran.

  • Wahamiaji wawili wa Kiasia wamehamishwa hadi Sudan Kusini.

  • “Türkiye na Marekani wanasema wanazidisha ushirikiano katika kuleta utulivu wa Syria.

  • Trump amezindua rasmi programu ya “Golden Dome” ya ulinzi wa makombora.

Sikiliza zaidi
Dondoo za TRT Afrika Swahili | 04 Machi 2026
Janga la unene
Sura ya Waislamu katika Bollywood
Unaijua homa ya ndege?
Palestina ya Marekani
Lugha ya Hisia
Je, miaka ni nambari tu?
Urembo kwenye mitandao ya kijamii unaathiri vipi wasichana?
Kutoka mtoni hadi baharini, Palestina itakuwa huru
Urithi wa Kiandalusia Umeishaje?