|
swahili
|
swahili
SIASA
UTURUKI
AFRIKA
JARIDA
MAONI
MICHEZO
Nuri Aden
Producer TRT Afrika Swahili
Producer TRT Afrika Swahili
Makala za Mwandishi
Uturuki na Afrika zaanza enzi mpya ya ushirikiano thabiti - AU
Uturuki ni mshirika wa kuaminika, anayejenga, kuwekeza, kusikiliza na kuchukua hatua sambamba na matarajio ya Afrika, alisema Kamishna wa Maendeleo ya Kiuchumi wa Umoja wa Afrika, Francisca Tatchouop Belobe.
4 dk kusoma
DRC yawaachia huru zaidi ya raia 50 wa Somalia baada ya juhudi za kidiplomasia
Kuachiwa kwao kulitokea siku tatu baada ya Balozi Hassan kukutana na viongozi wa DRC na kuwasilisha ombi rasmi kwa niaba ya serikali ya Somalia.
2 dk kusoma
Somalia yafungua milango ya fursa kwa kutumia viza mitandao
Mfumo huu mpya unarahisisha utoaji huduma kwa wasafiri ndani ya taifa hilo.
2 dk kusoma
Lango la Afrika kuelekea Mwezini: Somalia yajiandaa kufika anga za mbali kwa msaada wa Uturuki
Uturuki inaisaidia Somalia kuwa nchi ya kwanza barani Afrika kuzindua satelaiti kutoka katika ardhi yenyewe, kwa kutumia uwekezaji wa dola bilioni 6.
4 dk kusoma
Mchezaji bora wa soka Afrika: CAF yazindua orodha ya wagombea wa tuzo hizo 2023
Tanzania itawania kitengo cha timu bora ya taifa ya mwakani, dhidi ya Cape Verde, Gambia, Guinea Bissau, Equatorial Guinea, Mauritania, Morocco, Msumbiji, Namibia na Senegal.
3 DK KUSOMA
Ni timu zipi zimetinga UEFA Euro 2024?
Wenyeji Ujerumani watajiunga na timu nyingine 23 katika fainali za UEFA Euro 2024 msimu ujao. Ni timu zipi saba ambazo tayari zimehakikisha kufuzu kwao?
3 DK KUSOMA
Je, Tanzania ndio wafalme wapya wa Soka Afrika Mashariki?
Tanzania imevikwa taji hilo kwani Taifa Stars, ndio mwakilishi wa Afrika Mashariki AFCON, nao Yanga na Simba Afrika wamefuzu ligi ya Mabingwa CAF, huku kina dada JKT Queens wakiiwakilisha ukanda Kombe la Vilabu bingwa wanawake 2023.
10 DK KUSOMA
Kenya: Walinzi binafsi kuhitaji leseni na nambari za usajili kutoa huduma za usalama
Serikali ya Kenya imeanza kutoa nambari maalum, za kipekee, na leseni za kufanyia kazi kwa walinzi binafsi nchini humo wiki chache tu baada ya kuzindua mtaala sanifu wa mafunzo
2 DK KUSOMA
Mkwanja unaolipwa kwa mastaa wa Soka waliosajiliwa Saudi Arabia
Ronaldo, Benzema, Mane, Mahrez na Kante wametinga Jedda na Riyadh huku ligi kuu ya soka Saudi, maarufu Saudi Pro League ikiwavutia nyota wa soka kutoka vilabu maarufu duniani huku ikiwa ndio ligi inayowalipa wanasoka vyema zaidi.
3 DK KUSOMA
Marefa wa Kike kutoka Rwanda na Kenya waweka historia Kombe la Dunia la Wanawake Australia na New Zealand
Ureno iliilaza Vietnam 2-0 kwenye Uwanja wa Waikato kupitia mabao ya Telma Encarnacao na Kika Nazareth.
3 DK KUSOMA