| Swahili
Kabuga "hastahili" kushitakiwa
00:44
Ulimwengu
Kabuga "hastahili" kushitakiwa
Félicien Kabuga hatashiriki tena katika kesi yakeMahakama ya Umoja wa Mataifa imemtangaza mtu huyo mwenye umri wa miaka 88 "hawezi" kufikishwa kwenye kesiMfanyabiashara huyo anatuhumiwa kuwa mfadhili wa mauaji ya kimbari ya mwaka 1994Kulingana na mashtaka, Kabuga alikuwa akiongoza Radio Télévision Libre des Mille Collines (RTLM)Inasemekana alitumia utajiri wake na mitandao yake kuunga mkono mauaji hayo, kwa kusambaza mapanga kwa wingiWalakini, badala ya kusitisha kesi, majaji wameamua kuweka "utaratibu mbadala wa uthibitisho ambao unafanana sana na kesi, lakini bila uwezekano wa hukumu"
Tazama Video zaidi
Kijiji ambacho wanaume wote wamepigwa marufuku
Tanzania yaingia katika orodha ya nchi zinazozalisha gesi ya Helium
Uganda: Biashara ya usafiri si ya watu binafsi
Afrika ndilo bara la pili katika uzalishaji wa asali duniani | Utajiri wa Afrika
Charles Kibe Mwangi na simulizi ya njiti ya ufagio
Je, unaijua nchi ya Iran?
Je, Ufaransa Ilifanya nini Cameroon? Ukweli wafichuka
Raila Odinga asimulia alivyotumia pasipoti ya Tanganyika kusafiria
Eunice: 'Mimi naweza chochote' | Story Yangu
Bwana Chui Bin Kositi: Shujaa wa Uadilifu kutoka Congo