Walijaribu kumshawishi kwa Rushwa , na tishio la vifo.
Lakini alikataa.
Floribert Bwana Chui Bin Kositi aliangamiza ule mchele mbovu na hapo kuweka jina lake katika kumbukumbu ya historia kutokana na msimamo wake,

04:05

04:05
Tazama Video zaidi
Bwana Chui Bin Kositi: Shujaa wa Uadilifu kutoka Congo
Siku moja mwaka wa 1981, mfanyakazi mmoja wa forodha mjini Goma, alikamata na kuzuia shehena ya mchele ulioharibika kutoka Rwanda, iliyokusudiwa kusambazwa kwawatu maskini.
Tazama Video zaidi