| Swahili
ACT Wazalendo yataka uchaguzi wa haki
00:48
ACT Wazalendo yataka uchaguzi wa haki
Mgombea urais wa Zanzibar kupitia chama cha ACT Wazalendo Othman Masoud Othman amesema kuwa uchaguzi wa wizi na ghilba unaweza kuirudisha Zanzibar ilipotoka baada ya juhudi kubwa za kuasisi Serikali ya Umoja wa Kitaifa.

Othman ambae pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, ameyasema hayo akiwa katika viwanja vya Avenger Jimbo la Chumbuni wilaya ya Mjini Unguja katika mkutano wa hadhara alipokuwa akifanya kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29.

Tazama Video zaidi
Magdalena Shauri : Dada anayepepea miongoni mwa vigogo wa riadha duniani
Gabriel Geay : Nyota wa riadha wa Tanzania 'Moto wa kuotea mbali'
Kiuno mkabaji Thomas Partey
Prince Harry ni Nani?
Mafao anayostahiki Nchimbi
John Welle: Kizazi kipya kinachopeperusha bendera ya Tanzania katika riadha
Kocha Yaya Toure
Ainua mkono wake juu kwa miaka 53 kuushusha chini
Edwin Watenya Sifuna ni nani?
Gerrard: Mwamba wa Liverpool