| Swahili
Imani za Kiafrika: mtoto kuinama na kuangalia nyuma kupitia miguuni
Afrika
Imani za Kiafrika: mtoto kuinama na kuangalia nyuma kupitia miguuni
Je, katika jamii yako tabia hii ina maana gani?

Watoto mara nyingi wanakuwa na tabia tofauti, huku wengine wakionyesha tabia ya kuinama na kuangalia nyuma kupitia miguuni. Baadhi ya jamii zinaamini mtoto akifanya hivyo, aidha mama yake ni mja mzito au anakaribia kushika ujauzito.

Tazama Video zaidi
Benjamin Ratsim: Kijana wa miaka 19 anayebanana hapo hapo na vigogo wa riadha
Magdalena Shauri : Dada anayepepea miongoni mwa vigogo wa riadha duniani
Gabriel Geay : Nyota wa riadha wa Tanzania 'Moto wa kuotea mbali'
Kiuno mkabaji Thomas Partey
Prince Harry ni Nani?
Mafao anayostahiki Nchimbi
John Welle: Kizazi kipya kinachopeperusha bendera ya Tanzania katika riadha
Kocha Yaya Toure
Ainua mkono wake juu kwa miaka 53 kuushusha chini
Edwin Watenya Sifuna ni nani?