| Swahili
Hatuwezi kuwa taifa la kuishi kwa hofu
00:38
Hatuwezi kuwa taifa la kuishi kwa hofu

Akizungumza na vyombo vya habari mkoani Mtwara, mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF) Gombo Samandito Gombo, amelaani matukio ya utekaji na kupotea kwa watu yanayodaiwa kutokea nchini humo. 

Pia amevitaka vyombo vya dola nchini humo kuchukua hatua za haraka kuweza kutafuta suluhu ya tatizo hilo.  

Kauli yake inakuja siku chache baada ya kuibuka tetesi za kudaiwa kutekwa kwa aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole

Tazama Video zaidi
Magdalena Shauri : Dada anayepepea miongoni mwa vigogo wa riadha duniani
Gabriel Geay : Nyota wa riadha wa Tanzania 'Moto wa kuotea mbali'
Kiuno mkabaji Thomas Partey
Prince Harry ni Nani?
Mafao anayostahiki Nchimbi
John Welle: Kizazi kipya kinachopeperusha bendera ya Tanzania katika riadha
Kocha Yaya Toure
Ainua mkono wake juu kwa miaka 53 kuushusha chini
Edwin Watenya Sifuna ni nani?
Gerrard: Mwamba wa Liverpool