Mwanasiasa na Mbunge wa zamani wa Simanjiro kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Christopher Ole Sendeka, amepinga vikali matukio ya utekaji yanayoripotiwa kutokea nchini humo, akiyaita ni matendo ya hovyo na yasiyokubalika katika taifa linalothamini haki na utu wa binadamu.
Akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari, Ole Sendeka ametaka ufanyike uchunguzi wa kina kubaini wahusika wa vitendo

00:54

00:54
Tazama Video zaidi
Ole Sendeka: Utekaji ni jambo la hovyo
Tazama Video zaidi