Mara nyingi wanatoka katika jamii ambazo ni vigumu kuhudhuria shule na kukamilisha masomo yao.
Lakini baadhi ya makundi ya misaada yamekuja kutoa msaada. Taarifa ya Victoria Amunga imesomwa na Hamisi Iddi.

02:20

02:20
Tazama Video zaidi
Wanafunzi wasichana wapata mafunzo ya teknolojia nchini Kenya
Nchini Kenya, wanafunzi wa kike kutoka maeneo ya vijijini wanajifunza masuala ya kidijitali wakiwa karibu na nyumbani.
Tazama Video zaidi