1 Aprili 2025
Wakoloni walivyoanza kutawala, wakabadilisha majina hayo - lakini baada ya kupata uhuru, baadhi ya nchi zikarejesha utambulisho wao wa asili!
Kwa mfano, Burkina Faso ikiitwa Upper Volta, Ghana ikiitwa Gold Coast na Beini ikiitwa French Dahomey.