| Swahili
Malkia Amina wa Zazzau: Kiongozi shujaa aliyepanua milki ya Kihausa
01:35
Afrika
Malkia Amina wa Zazzau: Kiongozi shujaa aliyepanua milki ya Kihausa

Malkia Amina wa Zazzau alikuwa malkia na shujaa wa Kihausa wa karne ya 16 ambaye alitawala ufalme wa Zazzau na kulipanua eneo lake kupitia vita vya kimkakati na biashara. Alipata maarufu kwa kutumia wapanda farasi wenye silaha na  kujenga miji yenye kuta, ambayo baadhi yake bado iko hadi leo.

Tazama Video zaidi
Benjamin Ratsim: Kijana wa miaka 19 anayebanana hapo hapo na vigogo wa riadha
Magdalena Shauri : Dada anayepepea miongoni mwa vigogo wa riadha duniani
Gabriel Geay : Nyota wa riadha wa Tanzania 'Moto wa kuotea mbali'
Kiuno mkabaji Thomas Partey
Prince Harry ni Nani?
Mafao anayostahiki Nchimbi
John Welle: Kizazi kipya kinachopeperusha bendera ya Tanzania katika riadha
Kocha Yaya Toure
Ainua mkono wake juu kwa miaka 53 kuushusha chini
Edwin Watenya Sifuna ni nani?