| Swahili
Gen Z kuandamana tena Kenya?
02:41
Afrika
Gen Z kuandamana tena Kenya?
Ni mwaka mmoja tangu vijana nchini Kenya, maarufu Gen Z walipoingia barabarani Juni 2024, na kufanya maandamano makubwa katika historia ya nchi hiyo.

Ni mwaka mmoja tangu vijana nchini Kenya, maarufu Gen Z walipoingia barabarani Juni 2024, na kufanya maandamano makubwa katika historia ya nchi hiyo.

Kwa wiki kadhaa, vijana hao walikuwa mitaani katika miji mbalimbali, wakiupinga muswada maalum wa Fedha 2024, lakini pia mfumo mzima waliodai ulijaa ubaguzi, ufisadi, na kutojali masilahi ya Wakenya.
Mwaka mmoja baadaye wametishia kufanya maandamano tena, kupinga uongozi mbovu na ukatili wa polisi.

Hata hivyo, serikali ya Kenya, kupitia Msemaji wake imepiga marufuku maandamano hayo, na kusema yanaweza kuhatarisha usalama na uharibifu wa mali.

Tazama Video zaidi
Magdalena Shauri : Dada anayepepea miongoni mwa vigogo wa riadha duniani
Gabriel Geay : Nyota wa riadha wa Tanzania 'Moto wa kuotea mbali'
Kiuno mkabaji Thomas Partey
Prince Harry ni Nani?
Mafao anayostahiki Nchimbi
John Welle: Kizazi kipya kinachopeperusha bendera ya Tanzania katika riadha
Kocha Yaya Toure
Ainua mkono wake juu kwa miaka 53 kuushusha chini
Edwin Watenya Sifuna ni nani?
Gerrard: Mwamba wa Liverpool