| Swahili
Chungu tamu ya matokeo ya soka duniani
Michezo
Chungu tamu ya matokeo ya soka duniani
Soka ni mchezo wenye matokeo ya kufurahisha na wakati mwingine, kustaajabisha.

Hivi karibuni, Rais Lee Jae Myung wa Korea Kusini, aliamuru kufanyike kwa uchunguzi maalumu, baada ya timu ya taifa nchi hiyo kutolewa mapema katika Fainali za Kombe la Dunia 2026.

Mwaka 2000, nyota wa zamani wa Côte d'Ivoire, Didier Drogba na wenzake walipelekwa kwenye kambi maalumu ya kijeshi kutumikia adhabu kwa amri ya rais wa zamani wa nchi hiyo, Jenerali Robert Guei, baada ya timu hiyo kufanya vibaya kwenye michuano ya AFCON mwaka 2000.

Tazama Video zaidi
Magdalena Shauri : Dada anayepepea miongoni mwa vigogo wa riadha duniani
Gabriel Geay : Nyota wa riadha wa Tanzania 'Moto wa kuotea mbali'
Kiuno mkabaji Thomas Partey
Prince Harry ni Nani?
Mafao anayostahiki Nchimbi
John Welle: Kizazi kipya kinachopeperusha bendera ya Tanzania katika riadha
Kocha Yaya Toure
Ainua mkono wake juu kwa miaka 53 kuushusha chini
Edwin Watenya Sifuna ni nani?
Gerrard: Mwamba wa Liverpool