| Swahili
Patrice Lumumba: Shujaa wa DRC
02:30
Afrika
Patrice Lumumba: Shujaa wa DRC
Wiki hii katika Waliovuma Afrika tunamuangazia Patrice Lumumba. Je, unamfahamu?

Katika misitu minene na mito mikubwa ya Congo, alitokea kiongozi ambaye ndoto yake ilibadilisha historia milele - Patrice Emery Lumumba.

Hii ni safari yake ya kusisimua: kutoka kijiji kidogo cha Onalua hadi kuwa Waziri Mkuu wa kwanza wa Kongo huru.Ingawa aliuawa akiwa na umri wa miaka 35, urithi wake wa kupigania uhuru bado unaishi.

Tazama Video zaidi
Benjamin Ratsim: Kijana wa miaka 19 anayebanana hapo hapo na vigogo wa riadha
Magdalena Shauri : Dada anayepepea miongoni mwa vigogo wa riadha duniani
Gabriel Geay : Nyota wa riadha wa Tanzania 'Moto wa kuotea mbali'
Kiuno mkabaji Thomas Partey
Prince Harry ni Nani?
Mafao anayostahiki Nchimbi
John Welle: Kizazi kipya kinachopeperusha bendera ya Tanzania katika riadha
Kocha Yaya Toure
Ainua mkono wake juu kwa miaka 53 kuushusha chini
Edwin Watenya Sifuna ni nani?