| Swahili
Yuko wapi Victor Wanyama?
02:02
Michezo
Yuko wapi Victor Wanyama?

Pengine unamfahamu Victor Wanyama au umeshawahi kumuona au hata kumsikia.

Victor Wanyama, ni Mkenya wa kwanza kucheza katika Ligi kuu ya England EPL.

Akianza akiwa na umri wa miaka 15, amechezea klabu hizi: Nairobi City Stars, AFC Leopards, Beerschot AC, Celtic, Southampton, Tottenham Hotspurs, CF Montreal na sasa yuko na Dunfermline Athletic.

Goli lake akiichezea Tottenham dhidi ya Liverpool mwaka 2018 lilikuwa goli bora la mwezi huo.

Pia amechezea timu ya taifa ya Kenya. Wanyama ni ndugu ya nyota mwingine wa soka Macdonald Mariga.

Tazama Video zaidi
Magdalena Shauri : Dada anayepepea miongoni mwa vigogo wa riadha duniani
Gabriel Geay : Nyota wa riadha wa Tanzania 'Moto wa kuotea mbali'
Kiuno mkabaji Thomas Partey
Prince Harry ni Nani?
Mafao anayostahiki Nchimbi
John Welle: Kizazi kipya kinachopeperusha bendera ya Tanzania katika riadha
Kocha Yaya Toure
Ainua mkono wake juu kwa miaka 53 kuushusha chini
Edwin Watenya Sifuna ni nani?
Gerrard: Mwamba wa Liverpool