Mswada wa fedha

Mswada wa fedha

Mswada wa fedha Kenya bado ni kizungumkuti. Mjadala wa wabunge ulikuwa mkali sana huku wabunge wanaopinga wakidai mapendekezo yake yata ongeza gharama ya maisha kwa Wakenya. Baada ya ushirikishwaji wa umma serikali imefanya marekebisho kadhaa kwa mapendekezo yao ya awali kwa nia ya kulishawishi baraza hilo kuunga mkono mswada huo.