Logo
    • Türkiye

      Türkiye

    • Afrika

      Afrika

    • Ulimwengu

      Ulimwengu

    Habari

    • Biashara

      • Michezo

        • Maoni

          • Maisha

            • Video

              • Uchambuzi

                  • English

                    English

                  • Français

                    Français

                  • Hausa

                    Hausa

                  Swahili

                • Ukurasa wa nyumbani

                Afrika

                Maafisa wa zamani wa uchaguzi wa Kenya wanasisitiza kuwa uchaguzi ulikuwa haufai

                Maafisa wa zamani wa uchaguzi wa Kenya wanasisitiza kuwa uchaguzi ulikuwa haufai

                Wafanyakazi wanne wa zamani wa uchaguzi wa Kenya wamesisitiza kuwa uchaguzi wa urais uliofanyika Agosti 9, 2022, haukuwa wa haki
                Uganda yatafuta ufadhili wa China ujenzi wa bomba la mafuta EACOP

                Uganda yatafuta ufadhili wa China ujenzi wa bomba la mafuta EACOP

                Uganda iko katika hatua za mwisho za mazungumzo na wafadhili wa Kichina ili kusaidia ufadhili wa mradi wa bomba la mafuta lenye utata baada ya washirika wa nchi kadhaa Magharibi kujiondoa, alisema afisa wa ngazi ya juu siku ya Jumatano
                Rwanda: Rais Kagame kutetea kiti cha Urais kwa muhula wa nne

                Rwanda: Rais Kagame kutetea kiti cha Urais kwa muhula wa nne

                Kwa mara ya kwanza Rais wa Rwanda Paul Kagame ameweka wazi mpango wake wa kugombea muhula wa nne katika uchaguzi mkuu wa Urais mwakani

                Makala yanayovuma

                UNESCO yasajili mbuga ya Ethiopia kama eneo la urithi wa dunia

                UNESCO yasajili mbuga ya Ethiopia kama eneo la urithi wa dunia

                Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) limesajili Mbuga ya Kitaifa ya Milima ya Bale ya Ethiopia kama eneo la urithi wa dunia
                Somalia kuwapa raia wake vitambulisho vya kwanza tangu vita vya ndani

                Somalia kuwapa raia wake vitambulisho vya kwanza tangu vita vya ndani

                Mamlaka ya usajili ya taifa inasema inalenga kuwasajili angalau Wasomali milioni 15 kuanzia sasa hadi mwaka 2026
                Waziri Jafo aungana na watanzania katika maadhimisho ya Siku ya Usafi Duniani

                Waziri Jafo aungana na watanzania katika maadhimisho ya Siku ya Usafi Duniani

                Dunia huadhimisha Siku ya Usafi kila mwaka kwa lengo la kujenga uelewa wa kuhifadhi mazingira miongoni mwa wananchi.
                Maarufu
                Katika Picha: Vijana waliochoshwa na vita DRC wapata faraja mchezo wa kuteleza

                Katika Picha: Vijana waliochoshwa na vita DRC wapata faraja mchezo wa kuteleza

                Huku kukiwa na operesheni za kijeshi zinazoendelea nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo za kung'oa makundi ya waasi, kijana mmoja anatoa suluhu la kipekee ili kupunguza msongo wa mawazo na kukabiliana na uhalifu mijini
                Ukame wapelekea changamoto ya kiafya nchini Somalia

                Ukame wapelekea changamoto ya kiafya nchini Somalia

                Ukame Afrika Mashariki
                Kenya yatangaza ubinafsishaji wa makampuni yake ya serikali

                Kenya yatangaza ubinafsishaji wa makampuni yake ya serikali

                Baraza la mawaziri la Kenya limeidhinisha mswada mpya wa Ubinafsishaji ambao utawezesha nchi kubinafsisha baadhi ya mashirika ya serikali.
                Raia wa Nigeria waanza mfungo wa Ramadhani huku kukiwa na uhaba wa noti za benki

                Raia wa Nigeria waanza mfungo wa Ramadhani huku kukiwa na uhaba wa noti za benki

                Mwezi Oktoba mwaka jana, Benki kuu ya Nigeria ilianzisha sera ya kubadilisha madhehebu fulani ya naira na noti mpya za sarafu zilizoundwa.
                Mke wa Rais wa Kenya kupanda miti milioni 500 Ndani ya miaka tisa.

                Mke wa Rais wa Kenya kupanda miti milioni 500 Ndani ya miaka tisa.

                Serikali ya Kenya kupitia mke wa Rais yajidhatiti kukabiliana na mabadiliko ya Tabia ya nchi kwa kupanda miti zaidi ya bilioni 15 kufikia mwaka 2032
                Logo
                Hakimiliki © TRT Afrika 2023

                Shirika

                • Kuhusu TRT Afrika
                • Wasiliana Nasi

                Majukumu ya Kisheria

                • Sera ya Faragha
                • Sera ya Vidakuzi
                • Kanuni na Masharti
                • TRT AfrikaYoutube
                • TRT AfrikaTwitter
                • TRT AfrikaFacebook
                • TRT AfrikaInstagram
                • TRT AfrikaTikTok