Jengo kubwa zaidi lazinduliwa DRC

Jengo kubwa zaidi lazinduliwa DRC

Katika jitihada za kukuza uchumi wa nchi kupitia rasimali zake Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) imefungua majengo ya kituo cha kifedha katika jiji lake la Kinshasa mnamo Disemba 19, 2023